Salma Kikwete: Jimbo langu la Mchinga halina Stendi hata moja

Familia ya Kikwete ndio adui namba moja kwenye hii nchi
 
Si ulisema Samia hadaiwi chochote? Kwanini usichangie kujenga walau stand moja na mumeo akajenga ya pili? Pesa zote mlizoiba bado mnaibahilia kiasi hicho.
 
Mama Kikwete ana kitambi cha mapesa.
Pesa anazopewa na serikali zinatosha kujenga vituo vyote wilayani kwake.
Anakula hela za umma halafu anafuata hela za wengine ziwahudumie watoto wake.
 
Si familia ilikua ikulu? Au kajua kwao hamna hiyo kitu baada ya mumewe kutoka utamuni?
 
Zamani ndiyo walikuwa wanafanya hadi inaonyesha edited by Mod flan ,kwasiku hizi sijui maana haionyeshi.
Wana edit.
Kuna comment yangu waliweka bold neno flani ambalo mimi sikuweka.
Najua walifurahia nilipoweka angalizo ili kukwepa kuwajibishwa kisheria Mimi au JF endapo hoja niliyoweka ningekuwa nimekosea.
Waliogopa litigation lawsuit.
 
Moja walikuwa na Posters kuwa hawamdai mama Chochote mwaka Jana, imekuaje tena
 
Wanasiasa bhana daaah
 
Mme wake Salma, J. Kikwete, alikuwa Raisi kwa miaka 10...! Alishindwaje kumuuliza mme wake hilo swali?! (hata chumbani).... anakuja kuuliza sasa hivi?!

Hii nchi tunafanyiwa maigizo sana!
 
Haka kahuni kamezichezea sana Hela za wama.kalikuwa kanajichotea tu mabulungutu Kwa kisingizio Cha kusaidia wa kina mama badala yake zinaishia MIKONONI mwake.
 
Mumewe alipokuwepo madarakani alishindwa kumwambia?
 
Bora Bunge lifutwe TU Maana ni hasara Kwa Taifa,tunazidi kuwa masikini Kwa kuwalipa wabunge pesa za kufuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…