ila mimi kwa yote haya ya hao kupata hizi nafasi
siwashangai wala kuwalaumu.
HAPA BILA KUPEPESA MACHO WENYE SHIDA ZA AKILI NI wananchi wa hayo majimbo kama Chalinze na kwingineko huko anakotokea huyo Salma.
Hao wananchi wa hayo maeneo ndiyo wanapaswa kupimwa akili zao, kama kweli zipo sawa.
Siamini kuwa wanashikiwa bunduki kuwakubali hao watia nia.
ila kwa kuwa wanaendekeza njaa na umasikini wao.
Kumbuka kila mtu ana price.
Wanatumika kwa njaa zao na umasikini wao kisha wanakuja humu JF kujiliza nyuma keyboards.
Makamba wananchi walimkataa na kweli
imekuwa hivyo
sasa hayo majimbo mengine wanashindwa nini kama sio kuendekeza njaa zao na umaskini wao katika kufanya maamuzi magumu?
Hivyo tusiwalaumu familia ya kikwete na ya Mwinyi kwa wao kupata hizo nafasi.