Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Na tangu mwanzo hatukuwa tunaongelea "kugombea political posts" hayo umeyaleta wewe na ndio maana tunayajadili
...........sasa mimi i care and love mama maria,sitti,khadija,anna......nawaheshimu hawa infact ..kuhusu issue ya kutupotezea muda mjini kwao haikuwapo...wala hawakuwa waanasiasa na kuhangaika kugombea political posts......
Hivi Salama yupo wapi sasa, maana naona kwenye michuzi Picha ya JK, Shein, Raisi wa Malagasy na Mkewe ( Raisi wa Malagasi) nilitegemea kwamba angekuwa na Salama. Kulikoni?
Mkuu,
Hii habari kwanza ililetwa na wewe ( correct me if im in wrong ) hapa. Kwa maelezo yako ya sasa je unakana yale uliyoaandika before?
Huu ni udaku na unajua hivyo lakini kwa sababu unazozijua mwenyewe unashabikia, nimekuhusisha na mada hii kwa sababu wewe ndio muasisi wa hii mada haya sasa tueleze hizo security details za 1st lady wa awamu ya kwanza basi.
Kasirika mpaka upasuke habari ndio hiyo!
Jamani, kwa kifupi ni speculation, P Michael siku 1 tu kakwama kwenye foleni ikatokea mama wa watu anapita basi imekua ndo sababu??
Watu wengine mnachangia kama mko kwenye vikao vya NEC! sasa wewe masatu unataka mwenzako aku correct ili iweje sasa?
badala ya kuchangia kilichopo hapa , nyie mnaanza majungu na majibishano, hamjui kama mnatoka nje ya mada?
Hivi Salama yupo wapi sasa, maana naona kwenye michuzi Picha ya JK, Shein, Raisi wa Malagasy na Mkewe ( Raisi wa Malagasi) nilitegemea kwamba angekuwa na Salama. Kulikoni?
Huoni kama wewe ndio mshamba na unaboa zaidi kwa kuangalia nini kasema "mshamba"