Salma kikwete na salon!

Salma kikwete na salon!

Na tangu mwanzo hatukuwa tunaongelea "kugombea political posts" hayo umeyaleta wewe na ndio maana tunayajadili

...kumbuka uliuliza kuwa kagombea post gani...???..dont be hard let us leave this conversation..of kugombea....maana unageuka ubishi..lets move way forward...
 
Kumbuka ulisema haya ndio nikapelekea kuuliza swali

...........sasa mimi i care and love mama maria,sitti,khadija,anna......nawaheshimu hawa infact ..kuhusu issue ya kutupotezea muda mjini kwao haikuwapo...wala hawakuwa waanasiasa na kuhangaika kugombea political posts......

So check ur facts before being carried away son.... If u cant see ur the one who brought up the whole thing of "kugombea political posts" then one of us must have dodgy vision ( and I 've recently had my eyes tested) then it ought to be u!
 
Popote wanapokwenda ama kwa foleni, au kwa miguu hainisumbui hata kidogo. Ninyi mnaokwazwa na foleni niwape pole kidogo.

Sijui mlitaka JK na mke wake baada ya kufanikiwa kununua muda wa kukaa ikulu kwa fedha nyingi no matter nani alifanikisha kuzitoa na ni nani mbeba mzigo wa mwisho.

Hawa hawakujiandaa kuongoza nchi. Walijiandaa kufanya matanuzi tu basi!
 
mh, it stinks...labda yasingetokea kama jk asingeoa mke wa pili (sijui wa kumi)
 
Jamani, kwa kifupi ni speculation, P Michael siku 1 tu kakwama kwenye foleni ikatokea mama wa watu anapita basi imekua ndo sababu??
 
Hivi Salama yupo wapi sasa, maana naona kwenye michuzi Picha ya JK, Shein, Raisi wa Malagasy na Mkewe ( Raisi wa Malagasi) nilitegemea kwamba angekuwa na Salama. Kulikoni?
 
Hivi Salama yupo wapi sasa, maana naona kwenye michuzi Picha ya JK, Shein, Raisi wa Malagasy na Mkewe ( Raisi wa Malagasi) nilitegemea kwamba angekuwa na Salama. Kulikoni?

Hata mimi inanishangaza kidogo. Huyu mama kuna nini siku hizi haonekani sana hadharani na mumewe? Kwenye Besidei juzi sijamuona. Of course it was organised by the Ikulu Staff but to my suprise the first Lady was absent. Or tuseme bado yuko hospital? Lakini juzi alikuwa Iringa na habari yake ilirushwa!!!!!

Ila kama alivyochangia mwenzetu hapo juu kuwa akisafiri na kimada anatangulizwa, at the same time mke mpya ukiachilia mbali variety of nyumba ndogos. Then inauma jamani. Let us be in her shoes!!!!!!! Amevumilia to the neck.

Naamini ndani ya boma yao moshi unafuka ni hatujui tu.
 
Mkuu,

Hii habari kwanza ililetwa na wewe ( correct me if im in wrong ) hapa. Kwa maelezo yako ya sasa je unakana yale uliyoaandika before?

Huu ni udaku na unajua hivyo lakini kwa sababu unazozijua mwenyewe unashabikia, nimekuhusisha na mada hii kwa sababu wewe ndio muasisi wa hii mada haya sasa tueleze hizo security details za 1st lady wa awamu ya kwanza basi.

Kasirika mpaka upasuke habari ndio hiyo!

Watu wengine mnachangia kama mko kwenye vikao vya NEC! sasa wewe masatu unataka mwenzako aku correct ili iweje sasa?

badala ya kuchangia kilichopo hapa , nyie mnaanza majungu na majibishano, hamjui kama mnatoka nje ya mada?
 
Jamani, kwa kifupi ni speculation, P Michael siku 1 tu kakwama kwenye foleni ikatokea mama wa watu anapita basi imekua ndo sababu??

....hongera wewe unayepaa angani!!..............

..wana macho hawaoni ..wana masikio hawasikii.....

macho yao yamevaa miwani ..zinaona maisha bora kwa kila mtanzania.......barabara za flyovers ma six lanes zisizokuwa na foleni.....

kwao ...kila kitu sawa..ndio men!
 
Watu wengine mnachangia kama mko kwenye vikao vya NEC! sasa wewe masatu unataka mwenzako aku correct ili iweje sasa?

badala ya kuchangia kilichopo hapa , nyie mnaanza majungu na majibishano, hamjui kama mnatoka nje ya mada?

Hahahaha mkuu you mad my day, after all the frustrations at work hahahah anachangia kama kwenye vikao vya NEC-CCM! My take is kuna watu hapa kazi yao ni ku-divert attentions za mada kwa kuja na vioja, wapo wengi ni kuwa makini nao...

Ushi wa Rombo
 
Hivi Salama yupo wapi sasa, maana naona kwenye michuzi Picha ya JK, Shein, Raisi wa Malagasy na Mkewe ( Raisi wa Malagasi) nilitegemea kwamba angekuwa na Salama. Kulikoni?

Amerudi mbona alikuwapo pale wakati wanamwaga huyo rais Airport pale.
Siku chache alikuwa Makete kwenye mradi wa Ukimwi na mke wa balozi wa US.
Lakini inasemakana ni mjamzito muda si mrefu atakuwa matenity USA ambao mpo karibu nae tunaomba mtuthibitishie hili.
 
Back
Top Bottom