Salma Kikwete: Rais Samia ni mchapakazi anayetambulika duniani

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo limethibitika kwa kuwepa tuzo kubwa za kutambua mchango wake hivi karibuni.

Ameeleza kuwa Rais Samia amefanya maendeleo makubwa nchini pamoja na kutekeleza miradi mbalimbali kwa fedha za ndani huku akisisitiza jambo muhimu wanalopaswa kufanya watanzania wote ni kulinda amani na kuisemea nchi mambo mazuri.

Salma Kikwete ameeleza hayo leo Januari 30, 2026 bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia mjadala unaohusu hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13, iliyoeleza mwelekeo wa serikali yake.

1. Hivu huyu salma darasa la ngapi?
2. Samia is being flattered naye anakubali. Unaambiwa wewe ni Albert Einstein wa karne hii nawe unakubali wakati unajua fika hujagundua any break ground discovery.... Nyerere alisema mtu juha ni yule unamwambia kitu cha hovyo naye anakubali...amelewa RUZUKU za wenza
 
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo limethibitika kwa kuwepa tuzo kubwa za kutambua mchango wake hivi karibuni.

Ameeleza kuwa Rais Samia amefanya maendeleo makubwa nchini pamoja na kutekeleza miradi mbalimbali kwa fedha za ndani huku akisisitiza jambo muhimu wanalopaswa kufanya watanzania wote ni kulinda amani na kuisemea nchi mambo mazuri.

Salma Kikwete ameeleza hayo leo Januari 30, 2026 bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia mjadala unaohusu hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13, iliyoeleza mwelekeo wa serikali yake.

Mke mwenza, karogwa🚮🚮
 
1. Hivu huyu salma darasa la ngapi?
2. Samia is being flattered naye anakubali. Unaambiwa wewe ni Albert Einstein wa karne hii nawe unakubali wakati unajua fika hujagundua any break ground discovery.... Nyerere alisema mtu juha ni yule unamwambia kitu cha hovyo naye anakubali...
Mtu anayefurahia kuitwa Dr. Humwambii kitu
Haya Bwana,
Ataenda kuchapa kazi ICC
 
Ila huyu mama jamani, hatosheki tyuu.
Khaaaah.
 
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo limethibitika kwa kuwepa tuzo kubwa za kutambua mchango wake hivi karibuni.

Ameeleza kuwa Rais Samia amefanya maendeleo makubwa nchini pamoja na kutekeleza miradi mbalimbali kwa fedha za ndani huku akisisitiza jambo muhimu wanalopaswa kufanya watanzania wote ni kulinda amani na kuisemea nchi mambo mazuri.

Salma Kikwete ameeleza hayo leo Januari 30, 2026 bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia mjadala unaohusu hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13, iliyoeleza mwelekeo wa serikali yake.

Hii familia imechezea sana nchi yetu
Kuna siku watalipa
 
Back
Top Bottom