Mke mwenza, karogwa๐ฎ๐ฎMbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo limethibitika kwa kuwepa tuzo kubwa za kutambua mchango wake hivi karibuni.
Ameeleza kuwa Rais Samia amefanya maendeleo makubwa nchini pamoja na kutekeleza miradi mbalimbali kwa fedha za ndani huku akisisitiza jambo muhimu wanalopaswa kufanya watanzania wote ni kulinda amani na kuisemea nchi mambo mazuri.
Salma Kikwete ameeleza hayo leo Januari 30, 2026 bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia mjadala unaohusu hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13, iliyoeleza mwelekeo wa serikali yake.
Huyu huyu aliyefilisi nchi, na sasa anataka kuuza hazina yote ya dhahabu BOT ?Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania
Samia na Salma wanafanana upeo wao wa kufikiri, hadi jinsi wanavyowachamba na kuwadharau Watanganyika. Huwezi kumsikia akitoa pole kwa maelfu waliouwawa au waliopata ulemavu.Mke mwenza, karogwa๐ฎ๐ฎ
Mtu anayefurahia kuitwa Dr. Humwambii kitu1. Hivu huyu salma darasa la ngapi?
2. Samia is being flattered naye anakubali. Unaambiwa wewe ni Albert Einstein wa karne hii nawe unakubali wakati unajua fika hujagundua any break ground discovery.... Nyerere alisema mtu juha ni yule unamwambia kitu cha hovyo naye anakubali...
Ataenda kuchapa kazi ICCHaya Bwana,
๐๐๐๐๐Mke mwenza, karogwa๐ฎ๐ฎ
Ila Salma ni mbumbu mzungu wa reli aiseeSamia na Salma wanafanana upeo wao wa kufikiri, hadi jinsi wanavyowachamba na kuwadharau Watanganyika. Huwezi kumsikia akitoa pole kwa maelfu waliouwawa au waliopata ulemavu.
View: https://www.instagram.com/reel/DUIqMLbEvmf/?igsh=MXA0N3hhZzh5c21l
Hii familia imechezea sana nchi yetuMbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo limethibitika kwa kuwepa tuzo kubwa za kutambua mchango wake hivi karibuni.