PreGE2025 Salma Kikwete: Wanamchinga wanasema, ubunge mpaka niache mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wanamchinga wameniambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.Kimsingi, anasisitiza kwamba wananchi wa jimbo hilo wamemwambia wataendelea kumchagua mradi atakapojihisi anahitaji kupumzika, yaani ataendelea kuongoza mpaka yeye mwenyewe aamue kuacha.

​
 
Wanamchinga wameniambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.

Kwa lugha rahisi, alifafanua kwamba wakazi wa Jimbo la Mchinga wamesema watamchagua tena na tena kama Mbunge hadi yeye mwenyewe ataona anachoka, yaani ataacha ubunge pale atakapojihisi amechoka au kutaka kupumzika.
Dunia hi haina mwisho kwa kweli
 
Hivi kungekuwa na Reforms ya sheria za uchaguzi angekuwa na nguvu ya kuongea hivi.?
 
Hata akifa aende na huo Ubunge Kaburini,
Hivi hapa kufa kupo na watu wana jimwambwafai hivi,ingekuwa tunaishi milele ingekuwaje,masikini tungelala tukiwa tumesimama
 
Wanamchinga wameniambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.Kimsingi, anasisitiza kwamba wananchi wa jimbo hilo wamemwambia wataendelea kumchagua mradi atakapojihisi anahitaji kupumzika, yaani ataendelea kuongoza mpaka yeye mwenyewe aamue kuacha.

​
Politics..
 
Mke wa Rais mstaafu,mchango bungeni hatuuoni ,kila siku kuhangaika kwenye majukwaa. Akichepuka utamlaumu nani
 
Na kweli hawa machinga watamchaguwa!
WADANGANYIKA sijuwi tutaendelea kudanganyika mpaka lini?!
 
Wanamchinga wameniambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.Kimsingi, anasisitiza kwamba wananchi wa jimbo hilo wamemwambia wataendelea kumchagua mradi atakapojihisi anahitaji kupumzika, yaani ataendelea kuongoza mpaka yeye mwenyewe aamue kuacha.

​
Ndo maana nasema ccm ipo na matatizo ,kama uchaguzi ukifanyika hili ni jimbo latakiwa chukuliwa mapema sana tena na kijana kutoka chama chochote kile ,why tunakua watumwa wa familia moja tu ndani ya nchiyetu?

Huyu mama sikutegemea na amevunja rekodi ya wake wa vingozi mbalimbali aisee hapa Tanzania
 
Lindi wananiangusha aisee
Barabara ya kibiti mingoyo mpk Lindi ni ya hovyo tangu Nyerere! Kwa ujumla kusini ni hovyo sn! Mkapa miaka kumi hakuna hata Barabara ya kwenda nyumbani kwake, anaenda kuishi Lushoto! Masikitiko sn!
 
Back
Top Bottom