Elections 2010 Salma: Ushindi wa Kikwete 2010 haukuwa na dosari

Elections 2010 Salma: Ushindi wa Kikwete 2010 haukuwa na dosari

'Siasa za chuki zinazoendeshwa...'
Hivi kuna siasa za chuki kuliko za mumewe! Wakati ule m-kwere anawazushia wenzake kina Salim huyu alikuwa mke wa nani? Kweli ukiwa mshirikina utamdhania kila mtu kuwa ni mshirikina! Siasa za chuki anazo m-kwere, ajabu huyu mama anajifanya haoni!
 


By In2EastAfrica - Mon May 30, 2:26 pm

Mama-Salma-Kikwete.jpg

First Lady Mama Salma Kikwete


First Lady Salma Kikwete has called on ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM)’s Women Wing (UWT) to stand firm and condemn slanderous remarks uttered by leaders of opposition parties against CCM.

Speaking with UWT members in Dodoma region recently, she said UWT had a right to defend their party against the untoward remarks.

“You should not keep quiet because you too have a right to respond to anything said about your leaders and party since the government belongs to everybody,” she said.

The first lady said she hated the type of politics conducted by opposition party against the ruling party and its government. She explained that what the opposition party was doing was to spread false rumours and convince the world that they won last year’s general election.

“They want to tell the world that they won the general election. The opposition party won by 20 per cent, did that percentage make it really win?” she asked.

She asked if CCM got 60 per cent how come the rival party which obtained only 20 per cent could claim victory? She said such claims might just cause hatred and instigate chaos in the country.

She explained that CCM had no time to engage in empty debate but would rather concentrate on bringing about development to people.

She said ongoing reforms in the party did not aim at removing any old members from the party but only at striking a balance between old and new members so as to help the party move forward with renewed ferocity.
Source The Guardian
 
Mama gani asiye na huruma. Mimi najua wanawake ni watu wenye mioyo ya huruma naturally, sasa huyu asiyejua matatizo ya watz katoka wapi, nawashangaa hao waliokuwa wakimsikiliza na kumpigia makofi. Ndi hao wakipewa doti ya khanga wanapoteza network

Alimhurumia Babu Seya au?x
 
Mtu wa namna hiyo huwa wanamwita DOMOKAYA, na hata ukiangalia mdomo wake ndio uko hivyo.
 
ww mama kuwa makini sana ma matamshi yako na uwe muoga kama kama mume wako alivyokuwa muoga siku ya mdahalo juu ya maswali aliyokuwa anaulizwa uku mkutano wakiwa wameuandaa wenyewe na mamlukiwao wa kuuliza maswali lakin bado aliogopa
 
anatafuta mitusi ya nguoni hapa watu tupewe ban...akae kimya tu asifikiri tumesahau mambo aliyotufanyia na mumewe
 
mke wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania salma kikwete, amesema ushindi wa kikwete katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana hauna dosari kama baadhi ya vyama vya siasa vinavyotangaza.

Alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki alipokuwa akizungumza na wanachama wa jumuiya hiyo mkoa wa dodoma kwa nia ya kuwashukuru kwa kazi kubwa waliyoifanya wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka jana.


mama salma alisema baadhi ya vyama vimekuwa vikitawanya maneno ya uwongo na kuulazimisha ulimwengu uamini kuwa walishinda katika uchaguzi mwaka jana.


"wanataka waiambie dunia kuwa wao ndio walioshinda, hivi walioshinda wana asilimia 20,"alihoji mama salma huku akishangiliwa na wanawake waliofurika kwenye ukumbi huo.

Alisema watu wanaoeneza uongo huo wanashangaza kwa kuwa tofauti ya kura kati ya ccm na vyama vingine ilikuwa kubwa sana.

Alibainisha kuwa uongo unaoenezwa na wapinzani umekuwa ukiwachochea wananchi kukichukia ccm wakati ukweli ni kuwa ccm ndiyo iliyoshinda uchaguzi huo.


alisema wengi wanaoshiriki katika uzushi huo ni watoto wao kwani wamebebwa na wao migongoni lakini sasa wanawazunguka kuwachafua.

"wasione simba kalowa wakafikiri ni paka akitoa makucha yake watakiona" alisema.


aliitaka jumuiya ya wanawake tanzania (uwt), kutokuwa wanyonge kukemea mambo yanayofanywa na baadhi ya vyama vya siasa dhidi ya chama cha mapinduzi(ccm).

Alisema uwt ni moja kati ya jumiya ya ccm hivyo ina haki ya kulaani kauli zinazotolewa na vyama hivyo.

"msiitegemee serikali peke yake kukemea haya hata nyie mnanafasi kubwa kwani serikali ni kila mtu,"alisema


alieleza kuwa siasa za chuki zinazoendeshwa na baadhi ya vyama vya siasa hapa nchini dhidi ya ccm ni tabia ambayo haipaswi kuachwa bila kukemewa.

Alifafanua kuwa ccm haiwezi kupoteza muda kulumbana bali itatumia muda huo kujadili mikakati yake iliyojiwekea katika mkutano mkuu uliofanyika mwaka jana.

Aidha, alisema ili jumuiya hiyo iweze kuendelea kuwa imara inahitaji kuwa na damu mpya ambayo ni vijana wasomi.

Alisema nia si kuwaoondoa wanachama ambao ni wakongwe bali ni kuweka mchanganyiko ambao utawezesha kuwepo na kasi mpya.


chanzo: Nipashe


chakachua mama wewe na riz1 subiri 2015 au nguvu ya uma ikiamua ukajifiche kwenu "mikumbi lindi"
na daktari wa rais sheikh yahya ndiyo hivyo tena tutajua mbivu na mbichi tu wee subiri kama hukuwahi "ngende"
 
we mwalimu kaaa kimyaa kodi yangu inakufanya uishi hapo ikulu plse usituchefue tukakutoeni hapo!
 
Kiingiacho kwa hila kitatoka kwa hila, nafsi zao zinawasuta mioyoni mwao ndo maana wanakuwa wanyonge, na hiyo ni adhabu tosha .
 
Yeye mwenyewe anajua jinsi walivyochakachua, Mwanahalisi ilionyesha gari la serikali alilotumia musoma ikiwa imebanduliwa namba wakaweka za binafsi lakini wakasahau kwamba namba ziliandikwa pia kweye vioo ! Sasa huyu mama anamwongopea nanai wakati yeye mwenyewe alishiriki uchakachuzi kivitendo?
 
Mnategemea aseme nini zaidi ya aliyozungumza? Ni mropokaji mzuri tu huyu dada. Ebu muulize ana hakika ya anachokisema? hakika wengi watakutana na hukumu ya Mungu!
 
Mti mbovu huzaa matunda mabovu..na matunda nayo hutoa mbengu mbovu.Huyu mama ana mamlaka gani ya kuongelea uhalali wa matokeo ya uchaguzi Tanzania?yeye ni kiongozi wa chama gani hapa Tanzania?kama hata mahakama zinazuiliwa kuongelea matokeo ya uchaguzi,yeye anatumia ibara gani ama ndo 'kambare kingdom' ya (BMW)
 
Hapa ndo tunapopata wasiwasi, na ndipo uwezo wake finyu wa kufikiri unapojionesha wazi.... Ni bora angekaa kimya tu kuliko kuudhihirishia umma jinsi alivyo mbumbumbu!! Itawezekana vipi mtu ambaye alimchagua kwa kura yake leo aje kumchukia kwa kuambiwa tu, haiingii akilini kabisa!!

Afu we ungejua unaniudhi kumkumbatia sista kwenye iyo avatar yako ucingeongea kitu.
 
Mnategemea aseme nini zaidi ya aliyozungumza? Ni mropokaji mzuri tu huyu dada. Ebu muulize ana hakika ya anachokisema? hakika wengi watakutana na hukumu ya Mungu!

Ivi wale watoto wa shule ya msingi kule Bunda walimwonyesha vidole viwili! Au kimoja cha kati?
 
Kwanza ningependa kumuuliza huyu mama tangu uchaguzi ulipiisha alikuwa wapi mbona hakusikika tena leo ndio anakurupuka, kwa kifupi huyu mama hata chuo cha ualimu aliposomea alifeli alipitishwa tu kwa kuwa ni mke wa mkubwa so kwa mantiki hiyo hiyo siwezi kusema lolote kwani uelewa wake kwanza ni mdogo mno.
 
Napenda kumshauri huyu mama tena akome kutumia mali za walipa kodi kuhubiri asichokijua.yeye atulie ale na alale vinginevyo atajuta.
 
Mwanzoni mwa mwaka 2006 mama huyu alipakiwa sana na marehemu Amina Chifupa kuhusu maneno yake yasiyokuwa na busara.
 
Naombeni niulize?mwaka 2000 nasikia aliwah kuwa kichaa kutokana na kumkosa mp..wk babu sea et wan jf nsaidien?
 
Back
Top Bottom