Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

Njoo umalizie sehemu mbili;
Mosi, baada ya kushushwa
Pili, airport
 
mwenye kuisamaraizi anaisaidie, ndefu kama SGR
 
Kama mwaka 2012 ulikua mwaka wa tatu udsm basi tulikua tunasoma mwaka mmoja, Kumbe wakati wenzako tunateswa na akina Prof Mukandara, Prof Maboko kwenye kudai boom wewe ulikua unafukuzia mbususu mwishowe ukapatwa na vitasa live...
 

Ulivyokutana nae ulichukua namba na kumla? Kiungo gani ulipoteza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…