johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamasai wanalo...!!
Akili za Bawacha!Kwani hawawezi kutumia utaratibu wa kistaarabu kuwaamisha au akili yake imegotea hapo
Wamasai wote ni chadema waondolewe tuAkili za Bawacha!
Vita Na wamasai Ni ngumu Sana, Kama mnabisha jaribni, mnaweza kukuta Mnaua 80% Na watarudi tena ngorongoro
Viti maalumu huletwa na chama hawachaguliwi na wananchi.Ilikuwaje wananchi wanachagua watu hovyo kama hawa kuwa viongozi?
Hivi ule mkondo wa rubby epitia wapi vileVita Na wamasai Ni ngumu Sana, Kama mnabisha jaribni, mnaweza kukuta Mnaua 80% Na watarudi tena ngorongoro
Kwa nini mambo magumu yote mnafanya kipindi cha Mama? Hakuna malengo Ovu? Yani agombane Na kila kikundi!
Ccm hamuaminiki nyinyi, angalieni hii michezo yenu isiyoeleweka ya kukurupuka maana mnamharibia Mama yenu!
Hawa waliteuliwa na kisirani mmoja alietaka kuona bunge lote ni kijani.Ilikuwaje wananchi wanachagua watu hovyo kama hawa kuwa viongozi?
Ameridhia wamuharibie....Vita Na wamasai Ni ngumu Sana, Kama mnabisha jaribni, mnaweza kukuta Mnaua 80% Na watarudi tena ngorongoro
Kwa nini mambo magumu yote mnafanya kipindi cha Mama? Hakuna malengo Ovu? Yani agombane Na kila kikundi!
Ccm hamuaminiki nyinyi, angalieni hii michezo yenu isiyoeleweka ya kukurupuka maana mnamharibia Mama yenu!
Ilishangiliwa wakati machinga wanaondolewa. Leo imekuwa zamu ya Wamasai, wakimalizana na Wamasai hatujui wataenda kwa nanidaah nawahurumia wamasai
Ilishangiliwa wakati machinga wanaondolewa. Leo imekuwa zamu ya Wamasai, wakimalizana na Wamasai hatujui wataenda kwa nani