Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Nchi hii ni kubwa sana na kila raia ana uhuru wa kuishi popote. Kama tuliwahi tuliwahamisha wafugaji wa usukumani (bila kujali kabila gani) miaka ya 90 kuwapeleka Morogoro, Lindi na Mbeya kunusuru mazingira, kuna ubaya gani kuwahamisha wafugaji wa ngorongoro kunusuru hifadhi na wanyama?
Leo hii tuna Wamasai nchi nzima na hawabaguliwi na bado ni kivutio cha watalii kwa shughuli zao za kimila wafanyazo. Napongeza Azimio la Bunge, kama kuna sheria ilibariki hayo, setikali iifanyie mabadiliko yatakayoendana na uhalisia wa sasa.