Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

Nchi hii ni kubwa sana na kila raia ana uhuru wa kuishi popote. Kama tuliwahi tuliwahamisha wafugaji wa usukumani (bila kujali kabila gani) miaka ya 90 kuwapeleka Morogoro, Lindi na Mbeya kunusuru mazingira, kuna ubaya gani kuwahamisha wafugaji wa ngorongoro kunusuru hifadhi na wanyama?

Leo hii tuna Wamasai nchi nzima na hawabaguliwi na bado ni kivutio cha watalii kwa shughuli zao za kimila wafanyazo. Napongeza Azimio la Bunge, kama kuna sheria ilibariki hayo, setikali iifanyie mabadiliko yatakayoendana na uhalisia wa sasa.
 
Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?

Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
 
.... Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?

Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
Naunga mkono!
 
Vita Na wamasai Ni ngumu Sana, Kama mnabisha jaribni, mnaweza kukuta Mnaua 80% Na watarudi tena ngorongoro

Kwa nini mambo magumu yote mnafanya kipindi cha Mama? Hakuna malengo Ovu? Yani agombane Na kila kikundi!

Ccm hamuaminiki nyinyi, angalieni hii michezo yenu isiyoeleweka ya kukurupuka maana mnamharibia Mama yenu!
Kumuharibia mama kivip kwani huyo mama atakaa hapo milele.kama kuna swala liko kwa maslahi ya nchi ni vyema likafanyiwa kazi na ufumbuzi ukapatikana.hii tabia yakuwaza vyeo,madaraka na siasa kila mahali ndiyo iliyofikisha hii nchi hapa ilipo leo kua kama gari bovu.Swala la ngorongoro majadiliano lishaanza miaka mingi sana likawa linahairishwa ila nilazima lifikie mwisho maana hata kama litakwepwa kwenye awamu hii iko siku litaibuka tena.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ule mkondo wa rubby epitia wapi vile
Swali zuri sana. Wanajua vema. I wish ifanyike underground survey ya eneo la OBC.

I hate kukumbatia vitu bila ya kuwa na maslahi ya nchi na wananchi wake
 
Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?

Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
Wakipelekwa kwenye flats, je watapewa njia ingine ya kuingiza kipato? Au watakula hizo flats.
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Ila raia wabishi sana. Ila wataielewa dola tu. Mapori yapo ambapo hakuna wanyama wa utalii lakini ubishi wa raia mpaka unakera
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Washavimbiwa tayari
 
Uko wapi mlezi wetu?
JamiiForums-1279766744.jpg

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom