Salon za kike na umbea

Salon za kike na umbea

Blue-ish

Member
Joined
Aug 26, 2022
Posts
63
Reaction score
120
Yaani sijui kwa nini salon za kike zinasifika sana kwa umbea, kila atakayepita macho nje kumchungulia na kumchunguza wajue mtu kavaa nini, anakwenda wapi yaani ni vituko.

Sasa juzi nilikwenda salon kusuka zikaanza mada za watu mbalimbali yani kujadili watu, kuna mdada mmoja alipita ile kukata kona tu wakaanza kuongea kuwa “alishapigika sana yule yani alikonda na kuisha na vile kafupi kameteseka kweli kwa huyo bwana wake wa zamani ila saivi kapendeza kwa sababu kampata mwingine na amefunguliwa hadi kibanda cha wakala”.

Ukienda salon za kike ni utajua habari za kila mtu mtaani au hata wa mbali.
 
Back
Top Bottom