Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mpendwa wanguMdogo wangu usirudie tena kuandika hivi maana umenitamanisha mnoo ilhali nina malengo bado ya kuwa na nywele ndefu kwa miaka kadhaa....ukweli nimekusoma nikatamani week end ifike niende kwa kinyozi.