Salon za short hair kwa wadada

Mdogo wangu usirudie tena kuandika hivi maana umenitamanisha mnoo ilhali nina malengo bado ya kuwa na nywele ndefu kwa miaka kadhaa....ukweli nimekusoma nikatamani week end ifike niende kwa kinyozi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mpendwa wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…