tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Sep 11, 2014 #1 Wakuu naomba kwa mwenye uzoefu na hizi biashara, ipi ina tija zaidi? Changamoto zake kwa maana ya usimamizi ni zipi?!? Natanguliza shukrani!!
Wakuu naomba kwa mwenye uzoefu na hizi biashara, ipi ina tija zaidi? Changamoto zake kwa maana ya usimamizi ni zipi?!? Natanguliza shukrani!!
steveson manumbu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 887 Reaction score 178 Sep 11, 2014 #3 KE ina tija changamoto ni wadau wajo kwa maana ya wafanyakazi
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,966 Sep 13, 2014 #4 Sijawai kumiliki lakini nadhani yakike inafaida...ila initial capital investment na running cost ni kubwa zaidi.
Sijawai kumiliki lakini nadhani yakike inafaida...ila initial capital investment na running cost ni kubwa zaidi.
M mnyamiwono JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 708 Reaction score 71 Sep 13, 2014 #5 Salon ya kike inafaida kubwa na mtaji wake ni mkubwa
nairoby_34 New Member Joined Sep 11, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Sep 14, 2014 #6 So mtu unaweza toa ufafanuzu kwamba nikiasi gan chaweza tosha pindi unapo taka kustart business especial saloon ya kike?
So mtu unaweza toa ufafanuzu kwamba nikiasi gan chaweza tosha pindi unapo taka kustart business especial saloon ya kike?
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Sep 16, 2014 #7 Tafadhali unaweza kutoa mchanganuo kuwa ni mtaji kiasi gani unahitaji kuanzisha saluni ya kike .....HOPE NDICHO ULICHOKUWA UNAJARIBU KUSEMA! nairoby_34 said: So mtu unaweza toa ufafanuzu kwamba nikiasi gan chaweza tosha pindi unapo taka kustart business especial saloon ya kike? Click to expand...
Tafadhali unaweza kutoa mchanganuo kuwa ni mtaji kiasi gani unahitaji kuanzisha saluni ya kike .....HOPE NDICHO ULICHOKUWA UNAJARIBU KUSEMA! nairoby_34 said: So mtu unaweza toa ufafanuzu kwamba nikiasi gan chaweza tosha pindi unapo taka kustart business especial saloon ya kike? Click to expand...