Saloon ya kiume na ya kike ipi ina faida

Saloon ya kiume na ya kike ipi ina faida

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Wakuu naomba kwa mwenye uzoefu na hizi biashara, ipi ina tija zaidi? Changamoto zake kwa maana ya usimamizi ni zipi?!?

Natanguliza shukrani!!
 
Sijawai kumiliki lakini nadhani yakike inafaida...ila initial capital investment na running cost ni kubwa zaidi.
 
So mtu unaweza toa ufafanuzu kwamba nikiasi gan chaweza tosha pindi unapo taka kustart business especial saloon ya kike?
 
Tafadhali unaweza kutoa mchanganuo kuwa ni mtaji kiasi gani unahitaji kuanzisha saluni ya kike .....HOPE NDICHO ULICHOKUWA UNAJARIBU KUSEMA!
So mtu unaweza toa ufafanuzu kwamba nikiasi gan chaweza tosha pindi unapo taka kustart business especial saloon ya kike?
 
Back
Top Bottom