Saloon yangu(cut) iko matatani nimepigwa mzinga wiki 1 tu

Ni kweli mkuu kwa mazingira ya hapa Kwanza sijaoa na rafiki wa karibu hapa Sina mkuu nimenasa Sana.. Wazo langu nifunge tu Kwanza..
Usifunge kwa mtu afanye yake kwa muda analipia kodi ya fremu kwako maana wewe umeshalipa na akupe helankidogo tu
 
Mkuu hebu jaribu kufunga cctv,nimeona wengi wanatumia hii njia
 
Tumia 90% ya muda wako kwenye eneo lako la biashara,huo ndio uchawi pekee hakuna mtu miaka hii anaye weza kuisimamia biashara yako kama wewe unavyoweza kuisimamia,ingawa pia huyo jamaa yako usimlaumu Sana unaweza kuta kibinadam kina vitu ana lack katika kukifanya biashara iende mbele yaweza kuwa muda gani ameutumia hapo,skill yake yaani ananyoaje watu,customer care yake ikoje ukimpata mtu kaa nae mfanye biashara pamoja kabla hujamuacha inaweza saidia usikate tamaa hakuna kitu kizuri hakina changamoto,huna haja ya Kufunga biashara yako
 
Biashara za kumpa mtu ni taabu sana, hawezi jali biashara na pia kipato kinacho patikana anajiwekea yeye tu ,

Biashara inayo ishi kwa faida nzuri ni ile inayosimamiwa na mwenye biashara tu moja kwa moja , vinginevyo ni kilio tu
 
Biashara za kumpa mtu ni taabu sana, hawezi jali biashara na pia kipato kinacho patikana anajiwekea yeye tu ,

Biashara inayo ishi kwa faida nzuri ni ile inayosimamiwa na mwenye biashara tu moja kwa moja , vinginevyo ni kilio tu

Au kama vipi funga camera tu mzee
 
Kweli lakini
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: sab
W
Weka CCTV camera hapo wateja wote watakaoingia itakua inawarekodi so wewe utakua unajua idadi ya watu walioingia na wakapata huduma ya aina gan kila siku....kama ungeweza kyiweka kwa siri jamaa asiione ingekua poa zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…