Tumia 90% ya muda wako kwenye eneo lako la biashara,huo ndio uchawi pekee hakuna mtu miaka hii anaye weza kuisimamia biashara yako kama wewe unavyoweza kuisimamia,ingawa pia huyo jamaa yako usimlaumu Sana unaweza kuta kibinadam kina vitu ana lack katika kukifanya biashara iende mbele yaweza kuwa muda gani ameutumia hapo,skill yake yaani ananyoaje watu,customer care yake ikoje ukimpata mtu kaa nae mfanye biashara pamoja kabla hujamuacha inaweza saidia usikate tamaa hakuna kitu kizuri hakina changamoto,huna haja ya Kufunga biashara yako