Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Kabisa yaanMambo yemerahisishwa sana siku hizi.
Na mengine mengiπ€£π€£π€£Ukienda saloon ukimaliza kunyoa una ingia kuoshwa kichwa vizuri mpaka masikio ukifika nyumbn hakuna haja tena ya kuoga ni kulala tu πππ sio kama zaman ukitoka saloon mbio mbio kuoga π
Mzuri sanaUtandawazi
Na wana kugombania na wana nuniana kisa tu mtejaFursa ndio hizo. Yaani kinyozi mmoja halafu wadada wanne wanasubiri kuosha kichwa cha mteja.
Duh hongeraNaenda osha mwenyewe kunusuru ndoa yangu
Na wana kugombania na wana nuniana kisa tu mteja
Una wakosea sana ππ wape kidevu ikoo wakiosheeMimi wakiniona Wala hawahangaiki kuinuka kwenye viti vyao... Wanaendelea kuperuzii tuu na simu zao.
Wanajua baada ya kunyoa ni kujipaka spirits tu na kuondoka. Hakuna kuosha.
πππ wana makusudi mm huwa naguna na kucheka juuHalafu akiwa anakuosha na chuchu zinakuwa zinakusogela kwenye kichwa...kufumba na kufumbia bili laki mbiliπ
Una wakosea sana ππ wape kidevu ikoo wakioshee
Ahahah wanataka kukuvunjia ndoa kabisaMatatizo ni ya kuyakimbia. Mtu anakuinamia chuchu zinakugusa usoni... Anakutekenya na vidole masikioni.. (sio kwamba wana kuosha) anahamia kwenye pua tena... Mara ya mwisho nafutwa pua kama na kamasi nadhani sijui nilikuwa class 1 au chekechea... Sasa na uzee mtu anafanya hayo... Bado anafungua shati nusu vifungo kisa kuosha shingo tuu kufuta nywele...
Hayo yanaendela huku anakupigisha story na kuchungulia kwenye kioo vile una hamgaika (maana unakuwa umefunga macho). Hiyo yote ya nini? Kwanza Sasa hivi hata nikiona saloon ina maandishi makubwa na vioo vingi siingii... Na sometimes mama nyumbani ananikwangua upara safi kabisa... Nikienda huko saloon labda masharubu tu kuyaweka sawa.
Greatness Tupu