PLAN B VERYFIED
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 169
- 589
Astaghafiru llahsura kama mbuzi mzee
Sura special caseIpo mkoa gani mkuu? Wateja wako wana sura π₯π₯π₯
Mbona wote wanasura mbaya? Handsome huwataki?Shukrani Kwa wadau wote kuni support kwenye hihi kazi kama mnavyoView attachment 2977644View attachment 2977646View attachment 2977647ona.
Duuuhsura kama mbuzi mzee
Wanamtaka Jei Melody akiwa amelamba lipsmanyokozenu wachangia mada π
kwani nyinyi mnataka wauza sura tu
Haya hawa hapo wakulungwa
Lengo la uzi ni kuchekaππππππ
Sijui nacheka nini