chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.
My take ; Ole Sabaya unapaswa kuomba msamaha na kuwalipa faini uliowatuhumu
Chanzo: ITV
Pia soma > Hai: DC Sabaya aagiza wamiliki wa mabasi kukamatwa kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu ya Reli Dar-Moshi
Maswali muhimu ya kujiuliza
Kutokana na hili maswali ni
Je, anafanya haya kwa lengo gani?
Ni mambo haya haya ya siasa?
Haya anayooneshaga runingani kuhusiana na taarifa za aina hizi nayo ni uongo?
Kutokana na hili tu, hapaswi kuwajibika?
Tunataka viongozi wa kutuletea maendeleo na si wenye lengo la kukomoa na kuumiza wananchi.
Wafanya biashara wa mabasi unganeni