Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]TFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .
Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na waandishi wa Habari , alidai kwa sasa wanatafuta kocha mwenye utaalam zaidi ili kuipeleka timu Afcon 2019 .
Chanzo - Mwananchi .
Kwaheri Mayanga .
Ndio hivyo tena mjomba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .
Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na waandishi wa Habari , alidai kwa sasa wanatafuta kocha mwenye utaalam zaidi ili kuipeleka timu Afcon 2019 .
Chanzo - Mwananchi .
Kwaheri Mayanga .
Nimecheka sana !Huyo mzungu atawafundisha Kina Kichuya na Maguli au wakuja na wachezaji wao?
huyo fukuzia mbali kabisa, alivyokuwa biased kwenye zile sherehe za zenji, anawaambia wale vijana ati walikuwa wanapigania "nchi yao ya zenji", kumbe muda wote anafundisha hakuwa royal kwa taifa stars bali kwa wazenji wenzie, na kuna uwezekano mkubwa hata upangaji wa namba aliwapendelea wazanzibar ili wapate uzoefu timu ya taifa ili timu ya wala urojo iwe bora kuliko timu ya wala ugali wa dona. tangu siku ile ya tafrija ya kujifariji nao waonekana wana nchi, nilimfuta kwenye ramani kabisa.TFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .
Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na waandishi wa Habari , alidai kwa sasa wanatafuta kocha mwenye utaalam zaidi ili kuipeleka timu Afcon 2019 .
Chanzo - Mwananchi .
Kwaheri Mayanga .
Duh!huyo fukuzia mbali kabisa, alivyokuwa biased kwenye zile sherehe za zenji, anawaambia wale vijana ati walikuwa wanapigania "nchi yao ya zenji", kumbe muda wote anafundisha hakuwa royal kwa taifa stars bali kwa wazenji wenzie, na kuna uwezekano mkubwa hata upangaji wa namba aliwapendelea wazanzibar ili wapate uzoefu timu ya taifa ili timu ya wala urojo iwe bora kuliko timu ya wala ugali wa dona. tangu siku ile ya tafrija ya kujifariji nao waonekana wana nchi, nilimfuta kwenye ramani kabisa.
Nenda mwalim nenda wala hatutakukumbuka kwa uliyotufanyiaTFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .
Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na waandishi wa Habari , alidai kwa sasa wanatafuta kocha mwenye utaalam zaidi ili kuipeleka timu Afcon 2019 .
Chanzo - Mwananchi .
Kwaheri Mayanga .
Wamechelewa sanaTFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .
Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na waandishi wa Habari , alidai kwa sasa wanatafuta kocha mwenye utaalam zaidi ili kuipeleka timu Afcon 2019 .
Chanzo - Mwananchi .
Kwaheri Mayanga .
Kweli aisee kaiongoza Taifa stars mechi 14 ameshinda mechi 6 amedraw mechi saba na amefungwa mechi moja.Kwa mtazamo wangu Mayanga kaonesha mafanikio katika taifa stars kuliko makocha wote waliokuja baada ya Maximo. Kama ndio hivi sasa nani atavaa viatu vyake?
Soka la Bongo kizungumkuti