Salum Mayanga atimuliwa Taifa Stars

Salum Mayanga atimuliwa Taifa Stars

Yy
huyo fukuzia mbali kabisa, alivyokuwa biased kwenye zile sherehe za zenji, anawaambia wale vijana ati walikuwa wanapigania "nchi yao ya zenji", kumbe muda wote anafundisha hakuwa royal kwa taifa stars bali kwa wazenji wenzie, na kuna uwezekano mkubwa hata upangaji wa namba aliwapendelea wazanzibar ili wapate uzoefu timu ya taifa ili timu ya wala urojo iwe bora kuliko timu ya wala ugali wa dona. tangu siku ile ya tafrija ya kujifariji nao waonekana wana nchi, nilimfuta kwenye ramani kabisa.
yy hakuwa kocha wa timu ya taifa kwenye chalenji , ninje ndio alikuwa kocha ,
 
Kwa mtazamo wangu Mayanga kaonesha mafanikio katika taifa stars kuliko makocha wote waliokuja baada ya Maximo. Kama ndio hivi sasa nani atavaa viatu vyake?
Soka la Bongo kizungumkuti
Hiyo ni kweli mkuu , kama ingewezekana wangemfanya kocha msaidizi wa huyo anayekuja
 
TFF inatarajia mafanikio huku wakiwa hawana mipango endelevu.
Waulize leo ipo wapi timu ya vijana iliyocheza Gambia?
Hata wakimchukua Guardiola bado hakutakuwa na mafanikio.
We ndio umeongea cha maana
Unamlaumu kocha huku huna wachezaji
 
Nchi hii maajabu hayatakaa yaishe aisee. Unamfukuza kocha aliyecheza mechi kumi na nne akafungwa moja unamuacha aliyecheza mechi nne akafungwa tatu.
 
huyo fukuzia mbali kabisa, alivyokuwa biased kwenye zile sherehe za zenji, anawaambia wale vijana ati walikuwa wanapigania "nchi yao ya zenji", kumbe muda wote anafundisha hakuwa royal kwa taifa stars bali kwa wazenji wenzie, na kuna uwezekano mkubwa hata upangaji wa namba aliwapendelea wazanzibar ili wapate uzoefu timu ya taifa ili timu ya wala urojo iwe bora kuliko timu ya wala ugali wa dona. tangu siku ile ya tafrija ya kujifariji nao waonekana wana nchi, nilimfuta kwenye ramani kabisa.
300be7e271ebf81e59895d8eb0607a3a.jpg

4471904f789da9a6503413b983f5357c.jpg

Hivi ni vikosi alizokuwa anatumia mayanga nimeleta sample 2 haya nionyeshe mchezaji hata mmoja kutoka zenji hapo ,mnatafuta easy punching bag eh
 
Back
Top Bottom