Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yy hakuwa kocha wa timu ya taifa kwenye chalenji , ninje ndio alikuwa kocha ,huyo fukuzia mbali kabisa, alivyokuwa biased kwenye zile sherehe za zenji, anawaambia wale vijana ati walikuwa wanapigania "nchi yao ya zenji", kumbe muda wote anafundisha hakuwa royal kwa taifa stars bali kwa wazenji wenzie, na kuna uwezekano mkubwa hata upangaji wa namba aliwapendelea wazanzibar ili wapate uzoefu timu ya taifa ili timu ya wala urojo iwe bora kuliko timu ya wala ugali wa dona. tangu siku ile ya tafrija ya kujifariji nao waonekana wana nchi, nilimfuta kwenye ramani kabisa.
Hiyo ni kweli mkuu , kama ingewezekana wangemfanya kocha msaidizi wa huyo anayekujaKwa mtazamo wangu Mayanga kaonesha mafanikio katika taifa stars kuliko makocha wote waliokuja baada ya Maximo. Kama ndio hivi sasa nani atavaa viatu vyake?
Soka la Bongo kizungumkuti
Kwann usimba ?Afadhali jina zuri mayanga kumbe umemjaa usimba mtupu
Tff walitakiwa wamgroom mayanja kwa kuwa mafanikio kwa kiasi flan, mayanga wampe klm stars[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] duh asehWachezaji hawamuogopi ngoja aje mzungu uone wachezaji watakavyobadilika
[emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] duh aseh
We ndio umeongea cha maanaTFF inatarajia mafanikio huku wakiwa hawana mipango endelevu.
Waulize leo ipo wapi timu ya vijana iliyocheza Gambia?
Hata wakimchukua Guardiola bado hakutakuwa na mafanikio.
kim paulsen aliimudu sana stars sijui sababu zipi zilimuondoa
huyo fukuzia mbali kabisa, alivyokuwa biased kwenye zile sherehe za zenji, anawaambia wale vijana ati walikuwa wanapigania "nchi yao ya zenji", kumbe muda wote anafundisha hakuwa royal kwa taifa stars bali kwa wazenji wenzie, na kuna uwezekano mkubwa hata upangaji wa namba aliwapendelea wazanzibar ili wapate uzoefu timu ya taifa ili timu ya wala urojo iwe bora kuliko timu ya wala ugali wa dona. tangu siku ile ya tafrija ya kujifariji nao waonekana wana nchi, nilimfuta kwenye ramani kabisa.