Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ndugu Salum Mwalim ataongoza ujumbe wa viongozi na wanachama wa Chama hicho kwenda katika maziko ya Hayati Edwin Mtei yatakayofanyika Tengeru,Mkoani Arusha siku ya Jumamosi tarehe 24 Januari,2026.
Soma Pia: Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ya Umma -CHAUMMA
Soma Pia: Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ya Umma -CHAUMMA