Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ndugu Salum Mwalim ataongoza ujumbe wa viongozi na wanachama wa Chama hicho kwenda katika maziko ya Hayati Edwin Mtei yatakayofanyika Tengeru,Mkoani Arusha siku ya Jumamosi tarehe 24 Januari,2026.
Chadema ndio chama cha wananchi, hakitegemei sapoti ya mapolisi...nguvu yake uliona kiliposusia uchafuzi mkuu oct 29 wananchi wakaitikia wito!.
Kituo cha wapigakura 400 wanajitokeza watu 22!.