Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Nimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi
Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!