Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mimi naweza kumkadiria kuwa ni Mwl. wa watu gani tz.Nimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi
Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!
Kwani hizo hela ni zake? Huyo WANAYEMHARALISHA, ndiye anayegharamia!Anatumia hela nyingi kwenye kampeni huku akijua fika kwmba hatoshinda. Bora hizo hela angezitumia kuwasaidia watoto yatima na watu wasiojiweza.
Hahaha....naogopa hadi kuchekaNimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi
Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!
Huyo mama aliyemhug Rais mtarajiwa ni mzuri sanaNimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi
Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!
Una uhakika ni pesa zake zinazotumika?Anatumia hela nyingi kwenye kampeni huku akijua fika kwmba hatoshinda. Bora hizo hela angezitumia kuwasaidia watoto yatima na watu wasiojiweza.
Hakuna lolote hapo hiyo project ni ya akina Mchengerwa na Abdul hivyo wala haumii kwa chochote wanaotakiwa kuumia ni wananchi ambao pesa zao zinafujwa hovyo.Anatumia hela nyingi kwenye kampeni huku akijua fika kwmba hatoshinda. Bora hizo hela angezitumia kuwasaidia watoto yatima na watu wasiojiweza.
Acha wivu.Nimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi
Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!
WivuAnatumia hela nyingi kwenye kampeni huku akijua fika kwmba hatoshinda. Bora hizo hela angezitumia kuwasaidia watoto yatima na watu wasiojiweza.
Nimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi
Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!
HakikaHuyu hata kuleta habari zake hapa ni kutukosea