DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
Na wewe unaamini amechukua form kugombea urais?Kama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Kwamba hajachukua bado?Na wewe unaamini amechukua form kugombea urais?
Halaf ujie Hashim Rungwe mwenye chama saa hii hata hatumsikiii, sijui nini kimetokeaBasi angemwachia Kigaila umri unaruhusu au Hashim mwenye ana uzoefu.
mkuu ukipata hela kelele zinapungua na zikiwa za kutosha unakuwa huna kelele kabisaHalaf ujie Hashim Rungwe mwenye chama saa hii hata hatumsikiii, sijui nini kimetokea
Ameamua tu asogeze agenda mbele.Kwamba hajachukua bado?
So Mbowe inakua vipi?
Mkeka umetiki 😂mkuu ukipata hela kelele zinapungua na zikiwa za kutosha unakuwa huna kelele kabisa
Siasa za bongo ni za hovyo kbs!!!Kama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Huyu ndiye mgombea wa CHAUMA?Kama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
HAhahah ssm na michezo ya kitoto.nrneKama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Ameuza nyumba ila kuna tabia ya mnunuzi kukupa miezi mitatu au sita ya kujiandaa kutoka ndio hali ilivyoHalaf ujie Hashim Rungwe mwenye chama saa hii hata hatumsikiii, sijui nini kimetokea
Mwalimu anawezaKama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa