GE2025 Salum Mwalimu amesema yeye kuwa Rais ni Kichekesho haiwezekani bado sana

GE2025 Salum Mwalimu amesema yeye kuwa Rais ni Kichekesho haiwezekani bado sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yeye akutaka kuwela wazi jambo kubwa namna hiyo kabla ya wakati wake kwenye siasa za ushindani jambo hilo ni la kawaida TU labda kwa wana harakati ndio haiwezekani
 
Huyu Mwamba ndio aliandaliwa na Mbowe awe Mrithi wake 😀 😀, Jamaa yuko vizuri kuongea
 
Kama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Wanasiasa malaya malaya hivi. Hana tofauti na changudoa, anatumia matundu yote mawili, muhimu kwake ni dau tu
 
Kama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Wewe unapotosha sasa.lazima uweke context yake sawa.Kama alikuwa bado chadema akaulizwa hivyo angejibuje sasa
 
Back
Top Bottom