LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Mzee amejua kutulia aiseee. Muda wa kuupa promo ubwabwa huu yeye kauchuna kimyaaaaaaAmeuza nyumba ila kuna tabia ya mnunuzi kukupa miezi mitatu au sita ya kujiandaa kutoka ndio hali ilivyo
Madalali wa kisiasa wapo kazini ili wapate Chao kutoka CCM.
Pesa anayo atagawa biriani sasaMzee amejua kutulia aiseee. Muda wa kuupa promo ubwabwa huu yeye kauchuna kimyaaaaaa
Hayo ni maamuzi ya dharura baada ya shahidi wa siri kurudi nyumaBasi angemwachia Kigaila umri unaruhusu au Hashim mwenye ana uzoefu.
Katika Wagombea wa Mwaka huu Mpina pekee ndio afadhali, issue yake ni timing na mahaliWanaanza kujiuumbua. Bado Mpina
Na wapo watu wanakaza shingo kumsikiliza Mpina too emotional.Wanaanza kujiuumbua. Bado Mpina
Wanasiasa malaya malaya hivi. Hana tofauti na changudoa, anatumia matundu yote mawili, muhimu kwake ni dau tuKama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Sasa kwanini kateuliwaKama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Wewe unapotosha sasa.lazima uweke context yake sawa.Kama alikuwa bado chadema akaulizwa hivyo angejibuje sasaKama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
sikiliza swali la mtangazajiWewe unapotosha sasa.lazima uweke context yake sawa.Kama alikuwa bado chadema akaulizwa hivyo angejibuje sasa