Serikali na mafisadi imeamua kunajisi kabisa uchaguzi baada ya kujiridhisha kabisa kwamba wanaongoza maitiUchaguzi wa mwaka huu unaonyesha ni jinsi gani watanzania hatupo serious na maisha yetu ya sasa na future za watoto wetu.
Hawa wagombea hakuna hata m'moja mwenye sifa au vigezo vya kuwa raisi wa jamuhuri. Kuanzia CCM,ACT na sijui chama gani kingine kilichobakia.
Wagombea wote background zao sio za kuwapa sifa za kuwa viongozi wa taifa kama Tanzania labda Madagascar. Si kwa elimu,si kwa kiwango cha ufahamu,utashi,na hata hadhi ya kuwa mgombea.
Aisee hivi watanzania tunakubali upumbavu huu as if jamii nzima hakuna watu wazima?
Naunga mkono hoja. Kama Samata akikataa, wamjaribu kingwendu.🤣🤣🤣Salum Mwalimu kama alishindwa kuupata urais wa chuo cha IFm anaweza kushindana na Samia?
Si bora wangamlushawishi mbwana Samata awe mgombea kupitia CHAUMA? Kwani Gorge Weah alikuwa mwanasoka wa dunia na hivi ni Rais wa Liberia
Yani tumefanywa kama MisukuleUchaguzi wa mwaka huu unaonyesha ni jinsi gani watanzania hatupo serious na maisha yetu ya sasa na future za watoto wetu.
Hawa wagombea hakuna hata m'moja mwenye sifa au vigezo vya kuwa raisi wa jamuhuri. Kuanzia CCM,ACT na sijui chama gani kingine kilichobakia.
Wagombea wote background zao sio za kuwapa sifa za kuwa viongozi wa taifa kama Tanzania labda Madagascar. Si kwa elimu,si kwa kiwango cha ufahamu,utashi,na hata hadhi ya kuwa mgombea.
Aisee hivi watanzania tunakubali upumbavu huu as if jamii nzima hakuna watu wazima?
Akina nani hao ambao wamekufanyeni kama misukule ?Yani tumefanywa kama Misukule
Anayeweza ni Lissu ila hayupo! Nikuambie tu hao unaoona wanaweza nao walishindwa vyuoni. Bashiru naye pia alishindwa UDSM kuupata urais wa chuo. Kama kuukosa urais wa chuo ni kigezo cha kutokugombea waambie nao watulie.Salum Mwalimu kama alishindwa kuupata urais wa chuo cha IFm anaweza kushindana na Samia?
Si bora wangamlushawishi mbwana Samata awe mgombea kupitia CHAUMA? Kwani Gorge Weah alikuwa mwanasoka wa dunia na hivi ni Rais wa Liberia
Hizo ni project za CCMSalum Mwalimu kama alishindwa kuupata urais wa chuo cha IFm anaweza kushindana na Samia?