Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema badala ya kuendelea kulalamika ni bora tuangalie mbele na kujipanga zaidi
Soma Pia:
Soma Pia:
- Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu
- CHAUMMA yamvua rasmi u-Katibu Mkuu Salum Mwalimu