Salum Mwalimu: Badala ya kulalamika tufocus na kuangalia sasa hebu natengenezaje mbele

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema badala ya kuendelea kulalamika ni bora tuangalie mbele na kujipanga zaidi

Soma Pia:
Akitolea mfano katika changuzi zilizopita 2005 tulilalamika sindio? Ukaja 2010 tukalalamika ukaja 2020 2015 tukalalamika ukaja 2020 tukalalamika". "I decided to change badala ya kulalamika kufocus kuangalia sasa hebu natengenezaje mbele kwa sababu hatujaacha kulalamika

Your browser is not able to display this video.
 
Kawadhulumu wenzake ndiyo maana wamempiga chini hela yote iliyotoka direct lumumba na iliyotoka kwa Sultan Mbowe ilikuwa inapitia kwake alikuwa anapigia pumbu tu huku wenzake kina Kigaila wakipiga miayo.
 
Project iliyofail unaongea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…