dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,483
Akiwa kwenye mkutano Tunduru, Mgombea Mwenza wa CHADEMA aliwauliza wananchi Kati ya Mgombea wa ACT Wazalendo (Ado Shaibu) na wa Chadema (Ndugu Undi) nani wanamkubali, wananchi wote kwa pamoja wakajibu Adooo!
Salum Mwalimu akawaita viongozi wa Chadema wa Wilaya "watafakari" mwitikio huo wa umma. Wakasema wameona na wataheshimu matakwa ya umma. Mgombea wa Chadema alipopewa nafasi alitangaza kujitoa na kumhakikishia Ndugu Salum Mwalimu kuwa atashirikiana na Ado kuhakikisha anashinda Ubunge.