Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu (CHADEMA) amnadi Ado Shaibu (ACT Wazalendo) Tunduru

Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu (CHADEMA) amnadi Ado Shaibu (ACT Wazalendo) Tunduru

CHADEMA mnawavunja sana moyo wagombea wenu hiki ndicho chanzo cha kutotambua thamani yao ndani ya Chama hatimae kuhama . Watu wamefanya kazi kubwa kukitumikia Chama wakiwa na malengo yao leo unamwambia aungane na mgombea wa Chama Pinzani mbele ya Wananchi, Wazazi wake, Mwenza /mke wake, Wadogo zake, marifiki zake na Nduguze haki hii ni dharau kubwa kwake na kamwe hawezi kuendelea kukaa nanyi meza moja!
 
Back
Top Bottom