What a great & bravery move.Akiwa kwenye mkutano Tunduru, Mgombea Mwenza wa Chadema aliwauliza wananchi Kati ya Mgombea wa ACT Wazalendo (Ado Shaibu) na wa Chadema (Ndugu Undi) nani wanamkubali, wananchi wote kwa pamoja wakajibu Adooo!
Salum Mwalimu akawaita viongozi wa Chadema wa Wilaya "watafakari" mwitikio huo wa umma. Wakasema wameona na wataheshimu matakwa ya umma. Mgombea wa Chadema alipopewa nafasi alitangaza kujitoa na kumhakikishia Ndugu Salum Mwalimu kuwa atashirikiana na Ado kuhakikisha anashinda Ubunge.
View attachment 1593945
Akiwa kwenye mkutano Tunduru, Mgombea Mwenza wa Chadema aliwauliza wananchi Kati ya Mgombea wa ACT Wazalendo (Ado Shaibu) na wa Chadema (Ndugu Undi) nani wanamkubali, wananchi wote kwa pamoja wakajibu Adooo!
Salum Mwalimu akawaita viongozi wa Chadema wa Wilaya "watafakari" mwitikio huo wa umma. Wakasema wameona na wataheshimu matakwa ya umma. Mgombea wa Chadema alipopewa nafasi alitangaza kujitoa na kumhakikishia Ndugu Salum Mwalimu kuwa atashirikiana na Ado kuhakikisha anashinda Ubunge.
View attachment 1593945
Unajiona mjaanjaa kumbe fampa tu weweNa wanakwambia tunashinda Urais [emoji3]View attachment 1593953
Unajiona mjaanjaa kumbe fampa tu wewe
Tuki chora ya Bwana yule muwe Wavumili maana iyo ya Lissu ni nzuri
Hakuna lolote muwe wavumilivu nyie ma ndondocha ya cccm na neccm na Polisiccm muwe wavumilivu tutakapo chora vikatuni vya Bwana yule akifokaPiga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert [emoji3]
akiongea huo upuuzi huwa natamani jukwaa analotumia libo.mokeYule mwingne ange waambia .la sivyo siwa letei maji
Boom! Boom! Pop! Pop!Mambo bam bam
Nalog off
Akiwa kwenye mkutano Tunduru, Mgombea Mwenza wa CHADEMA aliwauliza wananchi Kati ya Mgombea wa ACT Wazalendo (Ado Shaibu) na wa Chadema (Ndugu Undi) nani wanamkubali, wananchi wote kwa pamoja wakajibu Adooo!