CHADEMA mnawavunja sana moyo wagombea wenu hiki ndicho chanzo cha kutotambua thamani yao ndani ya Chama hatimae kuhama . Watu wamefanya kazi kubwa kukitumikia Chama wakiwa na malengo yao leo unamwambia aungane na mgombea wa Chama Pinzani mbele ya Wananchi, Wazazi wake, Mwenza /mke wake, Wadogo zake, marifiki zake na Nduguze haki hii ni dharau kubwa kwake na kamwe hawezi kuendelea kukaa nanyi meza moja!