Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huu sasa ni ujinga. Katika yote aliyozungumza umeona hili? Hukumsukia alipozungumzia uhuru wa media? Hukumsikia alipozungumzia uhuru wa Bunge na Mahakama? Kuongeza bajeti ya sekta ya elimu ili sio tuu watoto wapate elimu bora bali wale wanaosoma shule za msingi na sekondari wapate chakula bora chenye lishe! Yote hayo hukuyaona?Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika.
Akizungumza leo katika Viwanja vya Biafra viliyoko Kinondoni Dar es saalam Salum amesema Klabu za Tanzania zimekua na kasumba ya kutofanya vizuri kwenye michuano hiyo kutokana na Changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchumi.
Amesema endapo atapata nafasi ya kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha Klabu yoyote kutoka nchini inachukua ubingwa wa michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika na kuling’arisha soka la Tanzania Kimataifa.
Ina manufaa gani kwa taifa?Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika.
Akizungumza leo katika Viwanja vya Biafra viliyoko Kinondoni Dar es saalam Salum amesema Klabu za Tanzania zimekua na kasumba ya kutofanya vizuri kwenye michuano hiyo kutokana na Changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchumi.
Amesema endapo atapata nafasi ya kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha Klabu yoyote kutoka nchini inachukua ubingwa wa michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika na kuling’arisha soka la Tanzania Kimataifa.
Uchaguzi wa kwanza toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe kuwa na wagombea VilazaMajinga sana haya
Unamchagulia cha kuandika,Huu sasa ni ujinga. Katika yote aliyozungumza umeona hili? Hukumsukia alipozungumzia uhuru wa media? Hukumsikia alipozungumzia uhuru wa Bunge na Mahakama? Kuongeza bajeti ya sekta ya elimu ili sio tuu watoto wapate elimu bora bali wale wanaosoma shule za msingi na sekondari wapate chakula bora chenye lishe! Yote hayo hukuyaona?
Amandla...
Ninakosoa alichoandika. Ameiweka public kwa hiyo ni ruksa kukosolewa.Unamchagulia cha kuandika,
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika.
Akizungumza leo katika Viwanja vya Biafra viliyoko Kinondoni Dar es saalam Salum amesema Klabu za Tanzania zimekua na kasumba ya kutofanya vizuri kwenye michuano hiyo kutokana na Changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchumi.
Hivi hawa huwa wanatoa wapi watu wa kusikiliza ujinga wao!!Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika.
Akizungumza leo katika Viwanja vya Biafra viliyoko Kinondoni Dar es saalam Salum amesema Klabu za Tanzania zimekua na kasumba ya kutofanya vizuri kwenye michuano hiyo kutokana na Changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchumi.
Chauma hivi ni tawi au ni chama rafiki na chama kipi hapa kwetu?Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika.
Akizungumza leo katika Viwanja vya Biafra viliyoko Kinondoni Dar es saalam Salum amesema Klabu za Tanzania zimekua na kasumba ya kutofanya vizuri kwenye michuano hiyo kutokana na Changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchumi.
Amesema endapo atapata nafasi ya kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha Klabu yoyote kutoka nchini inachukua ubingwa wa michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika na kuling’arisha soka la Tanzania Kimataifa.
Chauma hivi ni tawi au ni chama rafiki na chama kipi hapa kwetu?
Salum mwalim Rais wa Tanzania? Jamaji tuwe seriousHuu sasa ni ujinga. Katika yote aliyozungumza umeona hili? Hukumsukia alipozungumzia uhuru wa media? Hukumsikia alipozungumzia uhuru wa Bunge na Mahakama? Kuongeza bajeti ya sekta ya elimu ili sio tuu watoto wapate elimu bora bali wale wanaosoma shule za msingi na sekondari wapate chakula bora chenye lishe! Yote hayo hukuyaona?
Amandla...
Taifa mtakula nyasi tu!..😂Aangalie asijekuishiwa pesa ya Kulisha Taifa Ubwabwa
Cha ajabu ni kipi wakati alikuwa Mgombea Mwenza wa Lissu? Lissu angeshinda, Mwalimu angekuwa pigo moja la moyo kutoka kuwa Rais. Au wakati ule pia hamkuwa serious?Salum mwalim Rais wa Tanzania? Jamaji tuwe serious