Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atafuata nyayo za Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa kusimamia maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha zao la pamba linarejea kwenye heshima yake.
Akizungumza na wakazi wa mkoa wa Simiyu, amesema serikali yake itaweka mikakati ya kuongeza bei ya pamba, kuweka mfumo wa masoko wa uhaki na kuanzisha viwanda vya kuchakata pamba ili kuongeza thamani ya zao hilo.