"Ninawaomba sana, kama ni vipigo tumeshapigwa sana, kama ni maumivu tumeyabeba sana, safari ya mwisho hii ndio tunaelezana turudi nyuma, kuna jambo gani? na leo wengine wanazunguka huko wanawaambia watanzania uchaguzi unao msichague vyama vya upinzani, yaani tafsiri yake wanawaambia watanzania kachagueni CCM. Kwamba leo CCM ni bora zaidi?
Wanapiga kelele nchi nzima 'wamehongwa', magari mawili tu yanawatoa roho ambayo tumesaidiwa na mdau wetu wa Arusha, chukueni namba hizo muone hayo magari kama ni ya Ikulu, tumesaidiwa hapa Arusha tunachangia mafuta. Wanazunguka wanawadanganya. Gari nyingine nyeusi iliyotoka hapa ya kwetu wenyewe. Wanatufanya masikini kwamba hatumiliki magari, tukitembelea gari, kahongwa. Wao magari wameyapaki kwenye manyuma yao. Wao hawawezi kufanya wanafikiri na wengine hawawezi kufanya."