PreGE2025 Salum Mwalimu: Hatupaswi Kuiachia CCM Kushiriki Uchaguzi, Kama ni vipigo tumeshapigwa sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
"Ninawaomba sana, kama ni vipigo tumeshapigwa sana, kama ni maumivu tumeyabeba sana, safari ya mwisho hii ndio tunaelezana turudi nyuma, kuna jambo gani? na leo wengine wanazunguka huko wanawaambia watanzania uchaguzi unao msichague vyama vya upinzani, yaani tafsiri yake wanawaambia watanzania kachagueni CCM. Kwamba leo CCM ni bora zaidi?

Your browser is not able to display this video.

Wanapiga kelele nchi nzima 'wamehongwa', magari mawili tu yanawatoa roho ambayo tumesaidiwa na mdau wetu wa Arusha, chukueni namba hizo muone hayo magari kama ni ya Ikulu, tumesaidiwa hapa Arusha tunachangia mafuta. Wanazunguka wanawadanganya. Gari nyingine nyeusi iliyotoka hapa ya kwetu wenyewe. Wanatufanya masikini kwamba hatumiliki magari, tukitembelea gari, kahongwa. Wao magari wameyapaki kwenye manyuma yao. Wao hawawezi kufanya wanafikiri na wengine hawawezi kufanya."
 
Mipasho kama sponsor wao aka mama yao!!
Waanzishe "mipasho modern taarab" .
 
I wish my country ingekuwa hivi NRNE
 

Attachments

  • 20250613_151604.jpg
    174.9 KB · Views: 35
Huyu kiazi naye akafanye mkutano hata Zanzibar.

Kila siku yuko bara.
 
Akiweza kueleza alipopata funds za kuendesha kampeni basi wasikilizwe.
 
Akiweza kueleza alipopata funds za kuendesha kampeni basi wasikilizwe.
 
hvi hapa anaongea na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…