GE2025 Salum Mwalimu: Hatuwezi kuwaondoa CCM kwa kubadili tume ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hakuna maana ya kupoteza muda kwenye mjadala wa kutegemea CCM iandae mazingira ya haki yatakayowawezesha wapinzani kushika dola, kwa kuwa haijawahi kuwa hulka ya chama hicho tawala kufanya hivyo.

Akihutubia mamia ya wananchi katika viwanja vya Daraja Bovu, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, siku ya Alhamisi, Mwalimu amesema kuwa historia ya kisiasa ya Tanzania imejaa ushahidi kwamba CCM haiwezi kujitengenezea mazingira ya kushindwa uchaguzi, hivyo suluhisho ni kupambana kupitia nguvu ya umma.

Amehoji mantiki ya wapinzani kuendelea kusubiri mabadiliko kutoka kwa walioko madarakani badala ya kujipanga kushinda kupitia sanduku la kura kwa nguvu ya umma.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Nachofahamu ni tuingie uwanjani tukapambane nao kwa kutumia nguvu ya umma na siyo kuwasubiria wao kutuonea huruma ya kututengenezea sheria na mazingira ya sisi kushika dola. Hawajawahi kuwa waungwana kiasi hicho CCM,” ameongeza.

Mzee wangu anasemaga "Tumbo lina akili kuliko kichwa, tumbo likiwa halina kitu, linakupa taarifa kupitia njaa, ila kichwa kikiwa hakina kitu (ukiwa zwazwa), hakikupi taarifa yeyote"

Ni ngumu sana mtu "zwazwa" au "kiazi" kujitambua.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hakuna maana ya kupoteza muda kwenye mjadala wa kutegemea CCM iandae mazingira ya haki yatakayowawezesha wapinzani kushika dola, kwa kuwa haijawahi kuwa hulka ya chama hicho tawala kufanya hivyo.

Akihutubia mamia ya wananchi katika viwanja vya Daraja Bovu, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, siku ya Alhamisi, Mwalimu amesema kuwa historia ya kisiasa ya Tanzania imejaa ushahidi kwamba CCM haiwezi kujitengenezea mazingira ya kushindwa uchaguzi, hivyo suluhisho ni kupambana kupitia nguvu ya umma.

Amehoji mantiki ya wapinzani kuendelea kusubiri mabadiliko kutoka kwa walioko madarakani badala ya kujipanga kushinda kupitia sanduku la kura kwa nguvu ya umma.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Nachofahamu ni tuingie uwanjani tukapambane nao kwa kutumia nguvu ya umma na siyo kuwasubiria wao kutuonea huruma ya kututengenezea sheria na mazingira ya sisi kushika dola. Hawajawahi kuwa waungwana kiasi hicho CCM,” ameongeza.

Kuna baadhi ya ndoto ni feki mpaka zinawatisha hata waotaji
 
Huyu salum mwalimu ni mwehu
 
CHAUMMA tangu lini kimekua chama cha upinzani?
Chaumma na CUF ya sasa viko sawasawa.
 
Mapambano yapi? Ya kwenda kupanga foleni na kisha kufukuzwa na polisi?
 
Kwa hiyo mnao mbeza Mwalimu mnaamini kuwa iko siku CCM watawaletea Tume ya Uchaguzi iliyokuwa huru kabisa?

Amandla...
 
Back
Top Bottom