PostGE2025 Salum Mwalimu: Jaji Chande ametuonyesha viwango vya Kimataifa, Wote kwa pamoja tuseme 'Ever again kwa yaliyotokea Oktoba

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia

Hizi njaa hizi…

“Ever again” ndiyo nini, by the way?
 
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia

WELL DONE SALUM MWALIMU
 
Ningemshangaa sana kama asingeipongeza tume ya Idd Amin Mama, hasa kwa fadhila alizowapa kipindi cha uchafuzi mkuu.
 
Na wote tuseme Ever again kwa yaliyotokea 29 October
 
Nimekataa kuwa ZEZETA.
20260425_095226.jpg
 
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia

Salum Mwalim anakumbushiq ahadi yake ndio maana anajisemesha asisahaulike........hajui alitumika kama condom ,????
 
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia

Ripoti si yetu ni ya Samia
 
Siasa za nchi hii unaweza kufa kwa msongo wa mawazo.
Deal na familia yako ndiyo mfariji namba moja
Ni sawa kwa kiasi...tatzo unachokiepuka utakumbana nacho taka usitake...siasa ni kama maji...usipoyaoga utayanywa
 
Hapo upinzani ndio unaponiacha hoi. Ilikuwaje kuwaje kumuamini mtu kama Mwalimu mpaka kumpa nafasi kubwa Chamani?! Hivi vyama hakuna vetting ama?!
 
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia

Ever again!? Au never again?
78a7531b-588c-4de1-81af-93bcd4019aae.jpeg
 
Huyu fala na chauma yake hata wakati wa uchafuzi mkuu hawakuthubutu kbs kupanua mdomo kumkosoa samuya muda wote siku 30 za kampeni!.
Masnich wakubwa hawa!.
 
Chadema ilikuwa na mapandikizi mengi mno.... huyu ndiye alikuwa mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya Chadema.
 
Anabeua shibe ya hela za samuya ambazo ni kodi zetu kimsingi. Watalipia
 
Back
Top Bottom