Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Pesa ambazo mtu anapata bila kuvuja jasho mi dhambi kwa MunguNina uhakika hio pesa uko mahali unaitafuna na Mrembo mnachoma nyama na bia za kutosha...

Umeenda kutoa taarifa TAKUKURU kuwa umepewa pesa chafu? Una ushahidi kuwa ni pesa chafu?Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
View attachment 3341389
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa ili kuvuruga Upinzani. Halafu watu wanadai Tanzania Masikini.
Mtu alokuwa ananiambia nimchangie hela ya Mikutano yake Zanzibar leo ananipa hela nikanywe Kimiminika ninachotaka Juliana Mbezi! Mimeogopa sana.
Pale Dodoma hadi Mwezi wa 12 mwkaa 2024 Boma lake lilikuwa kwenye madirisha hadi limekuwa la kijani.
TAKUKURU niiteni niwape Ushirikiano. Au hata Polisi...
Last time walinionea wakaniita pale Gorofa ya Nane interpol jengo la mabo ya ndani posta. Safari hii nao waniite niwape za ndani.
Eti Abdul Hassan ndo anagawa Hela.
Yaani Makada wa CHADEMA wanapewa Milioni 200 Wahame mimi niliyeona hela napewa laki tatu. Hizi ni dharau..
Ushauri: Kama wewe ni Mwanasiasa wq CHADEMA na unaona mambo hayaelewi, Itisha press conference jifanye inahamia CHAUMA.
Karibu yake ni laki 5.
Natamani kupata Wadukukuzi tuduke account ya Salum Mwalimu
Uzuri hii ID anaijua. Akinichoma nami nachoma ID yake😂😂
Salum Mwalimu aulizwe alipo mdude Nyagali
Dah, kwa Muumba kuna mambo makubwaUmeenda kutoa taarifa TAKUKURU kuwa umepewa pesa chafu? Una ushahidi kuwa ni pesa chafu?
Sasa Kama hujui hesabu nikisaidieje?Alafu kuna watu wanasema et wewe ni mtu na heshima zako...
Ngoja waje kuona hii 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Tunapo wambia adui wa tanzania na chanzo cha umaskini tanzania ni CCM muwe mnaelewa, 60% ya fedha za serikali zinatumiwa na wanasiasa wasio lizalishia chochote hili taifa na wanatumika kuwalinda mafisadi na wezi wa mali za umma shenzi kabisa na sasa naona kuna kulabo la wazanzibar kuifilisi tanganyikaAliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
View attachment 3341389
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa ili kuvuruga Upinzani. Halafu watu wanadai Tanzania Masikini.
Mtu alokuwa ananiambia nimchangie hela ya Mikutano yake Zanzibar leo ananipa hela nikanywe Kimiminika ninachotaka Juliana Mbezi! Mimeogopa sana.
Pale Dodoma hadi Mwezi wa 12 mwkaa 2024 Boma lake lilikuwa kwenye madirisha hadi limekuwa la kijani.
TAKUKURU niiteni niwape Ushirikiano. Au hata Polisi...
Last time walinionea wakaniita pale Gorofa ya Nane interpol jengo la mabo ya ndani posta. Safari hii nao waniite niwape za ndani.
Eti Abdul Hassan ndo anagawa Hela.
Yaani Makada wa CHADEMA wanapewa Milioni 200 Wahame mimi niliyeona hela napewa laki tatu. Hizi ni dharau..
Ushauri: Kama wewe ni Mwanasiasa wq CHADEMA na unaona mambo hayaelewi, Itisha press conference jifanye inahamia CHAUMA.
Karibu yake ni laki 5.
Natamani kupata Wadukukuzi tuduke account ya Salum Mwalimu
Uzuri hii ID anaijua. Akinichoma nami nachoma ID yake😂😂
Salum Mwalimu aulizwe alipo mdude Nyagali
Utakufa nacho kijiba cha roho na kisicho ridhiki hakiliki!Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
View attachment 3341389
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa ili kuvuruga Upinzani. Halafu watu wanadai Tanzania Masikini.
Mtu alokuwa ananiambia nimchangie hela ya Mikutano yake Zanzibar leo ananipa hela nikanywe Kimiminika ninachotaka Juliana Mbezi! Mimeogopa sana.
Pale Dodoma hadi Mwezi wa 12 mwkaa 2024 Boma lake lilikuwa kwenye madirisha hadi limekuwa la kijani.
TAKUKURU niiteni niwape Ushirikiano. Au hata Polisi...
Last time walinionea wakaniita pale Gorofa ya Nane interpol jengo la mabo ya ndani posta. Safari hii nao waniite niwape za ndani.
Eti Abdul Hassan ndo anagawa Hela.
Yaani Makada wa CHADEMA wanapewa Milioni 200 Wahame mimi niliyeona hela napewa laki tatu. Hizi ni dharau..
Ushauri: Kama wewe ni Mwanasiasa wq CHADEMA na unaona mambo hayaelewi, Itisha press conference jifanye inahamia CHAUMA.
Karibu yake ni laki 5.
Natamani kupata Wadukukuzi tuduke account ya Salum Mwalimu
Uzuri hii ID anaijua. Akinichoma nami nachoma ID yake😂😂
Salum Mwalimu aulizwe alipo mdude Nyagali
Kuna mtu hapa Dodoma anaanzisha bendi ya taarabu, naona unafaa sana, nikupe connection!!??Utakufa nacho kijiba cha roho na kisicho ridhiki hakiliki!
Unalo limekuganda!!Kuna mtu hapa Dodoma anaanzisha bendi ya taarabu, naona unafaa sana, nikupe connection!!??
Mimi sikufanyii "audition" ndugu, nimeridhika kabisa kuwa unaweza, ila naomba nikupe angalizo, ana mtihani wa kuhakikisha kama ni "me" , basi awe hajaharibiwa, je una uhakika utafaulu kweli huo mtihani!!??Unalo limekuganda!!
Umetosha sana mkuu kumbe mambo unajua ila kujitoa akili tuuSasa Kama hujui hesabu nikisaidieje?
Nilikuambia usisome mimi???
Haya Poor Brain malizia ili upate Moja.
Usisahau Magazijuto.
(10kg x 3m) + (30kg x Xm) = 20kg X 3m
Nchi ingekuwa na Demokrasia, ingekuwa poa sana. Sasa watu wanashangilia CHADEMA imekufa, wakati mifumo yenyewe imeegemea upande mmoja. Mwenyekiti kapewa makesi makubwa huko, unakaa unajisifu kuwa chama kimekufa. Kama sio upumbavu, ni nini?Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
View attachment 3341389
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa ili kuvuruga Upinzani. Halafu watu wanadai Tanzania Masikini.
Mtu alokuwa ananiambia nimchangie hela ya Mikutano yake Zanzibar leo ananipa hela nikanywe Kimiminika ninachotaka Juliana Mbezi! Mimeogopa sana.
Pale Dodoma hadi Mwezi wa 12 mwkaa 2024 Boma lake lilikuwa kwenye madirisha hadi limekuwa la kijani.
TAKUKURU niiteni niwape Ushirikiano. Au hata Polisi...
Last time walinionea wakaniita pale Gorofa ya Nane interpol jengo la mabo ya ndani posta. Safari hii nao waniite niwape za ndani.
Eti Abdul Hassan ndo anagawa Hela.
Yaani Makada wa CHADEMA wanapewa Milioni 200 Wahame mimi niliyeona hela napewa laki tatu. Hizi ni dharau..
Ushauri: Kama wewe ni Mwanasiasa wq CHADEMA na unaona mambo hayaelewi, Itisha press conference jifanye inahamia CHAUMA.
Karibu yake ni laki 5.
Natamani kupata Wadukukuzi tuduke account ya Salum Mwalimu
Uzuri hii ID anaijua. Akinichoma nami nachoma ID yake😂😂
Salum Mwalimu aulizwe alipo mdude Nyagali
Awe mwangalifu sana huyo Mbunge, yasije yakamtokea yaliyompata Mzee Ally Kibao! Huyo mtoto siyo wa mchezo mchezo.TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa ili kuvuruga Upinzani. Halafu watu wanadai Tanzania Masikini.
Kumbe na wewe ulitaka upewe hizo mil 200? Umeamua kuchoma utambi kwa kuwa umepewa laki tatu tu ?!Yaani Makada wa CHADEMA wanapewa Milioni 200 Wahame mimi niliyeona hela napewa laki tatu. Hizi ni dharau..
You could be sick!! CHAUMMA inaxiteka siasa za Tanzania mkiangalia……. Poleni sana kwa huu utoto!!Mimi sikufanyii "audition" ndugu, nimeridhika kabisa kuwa unaweza, ila naomba nikupe angalizo, ana mtihani wa kuhakikisha kama ni "me" , basi awe hajaharibiwa, je una uhakika utafaulu kweli huo mtihani!!??
Ni suala la muda tu kabla ya kukubaliana na Mimi kuwa chadema chakavu wanachanganyikiwa kwa Kasi ya moto wa kifuuAliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
View attachment 3341389
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa ili kuvuruga Upinzani. Halafu watu wanadai Tanzania Masikini.
Mtu alokuwa ananiambia nimchangie hela ya Mikutano yake Zanzibar leo ananipa hela nikanywe Kimiminika ninachotaka Juliana Mbezi! Mimeogopa sana.
Pale Dodoma hadi Mwezi wa 12 mwkaa 2024 Boma lake lilikuwa kwenye madirisha hadi limekuwa la kijani.
TAKUKURU niiteni niwape Ushirikiano. Au hata Polisi...
Last time walinionea wakaniita pale Gorofa ya Nane interpol jengo la mabo ya ndani posta. Safari hii nao waniite niwape za ndani.
Eti Abdul Hassan ndo anagawa Hela.
Yaani Makada wa CHADEMA wanapewa Milioni 200 Wahame mimi niliyeona hela napewa laki tatu. Hizi ni dharau..
Ushauri: Kama wewe ni Mwanasiasa wq CHADEMA na unaona mambo hayaelewi, Itisha press conference jifanye inahamia CHAUMA.
Karibu yake ni laki 5.
Natamani kupata Wadukukuzi tuduke account ya Salum Mwalimu
Uzuri hii ID anaijua. Akinichoma nami nachoma ID yake😂😂
Salum Mwalimu aulizwe alipo mdude Nyagali
Wamecheza vizuri, wamemchomeka Mwalimu mzanzibari kuwa katibu wa CHAUMA ili hiyo pesa isipigwe.Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.