DOKEZO Salum Mwalimu katoa wapi hela ya kugawa Nchi Nzima? Kanipa laki tatu. TAKUKURU mpo wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umeenda kutoa taarifa TAKUKURU kuwa umepewa pesa chafu? Una ushahidi kuwa ni pesa chafu?
 
Alafu kuna watu wanasema et wewe ni mtu na heshima zako...

Ngoja waje kuona hii 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Sasa Kama hujui hesabu nikisaidieje?
Nilikuambia usisome mimi???
Haya Poor Brain malizia ili upate Moja.
Usisahau Magazijuto.

(10kg x 3m) + (30kg x Xm) = 20kg X 3m
 
Tunapo wambia adui wa tanzania na chanzo cha umaskini tanzania ni CCM muwe mnaelewa, 60% ya fedha za serikali zinatumiwa na wanasiasa wasio lizalishia chochote hili taifa na wanatumika kuwalinda mafisadi na wezi wa mali za umma shenzi kabisa na sasa naona kuna kulabo la wazanzibar kuifilisi tanganyika
 
Utakufa nacho kijiba cha roho na kisicho ridhiki hakiliki!
 
Nchi ingekuwa na Demokrasia, ingekuwa poa sana. Sasa watu wanashangilia CHADEMA imekufa, wakati mifumo yenyewe imeegemea upande mmoja. Mwenyekiti kapewa makesi makubwa huko, unakaa unajisifu kuwa chama kimekufa. Kama sio upumbavu, ni nini?
 
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa ili kuvuruga Upinzani. Halafu watu wanadai Tanzania Masikini.
Awe mwangalifu sana huyo Mbunge, yasije yakamtokea yaliyompata Mzee Ally Kibao! Huyo mtoto siyo wa mchezo mchezo.
 
Mimi sikufanyii "audition" ndugu, nimeridhika kabisa kuwa unaweza, ila naomba nikupe angalizo, ana mtihani wa kuhakikisha kama ni "me" , basi awe hajaharibiwa, je una uhakika utafaulu kweli huo mtihani!!??
You could be sick!! CHAUMMA inaxiteka siasa za Tanzania mkiangalia……. Poleni sana kwa huu utoto!!
 
Ni suala la muda tu kabla ya kukubaliana na Mimi kuwa chadema chakavu wanachanganyikiwa kwa Kasi ya moto wa kifuu
 
Wamecheza vizuri, wamemchomeka Mwalimu mzanzibari kuwa katibu wa CHAUMA ili hiyo pesa isipigwe.
Katibu wa CHAUMA angekuwa Mrema au Kigaila au yule aliyejiuzulu watu wangeambulia manyoya!
Ila jamani nchi hii inamatumizi ya hovyo sana ya hela za walipa kodi!
Kipindi cha Hamphrey hela imepigwa sana kuwanunua chadema lakini wapi chadema ikabaki na nguvu zake. Wakati huu tena pesa inatumika kuwanunua haohao chadema, ninaamini pia chadema itabaki na nguvu zake. Yaani huko serikalini watu wametengeneza software ya upigaji kupitia mradi wa kuiua chadema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…