DOKEZO Salum Mwalimu katoa wapi hela ya kugawa Nchi Nzima? Kanipa laki tatu. TAKUKURU mpo wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Chaumma ni project ya mfumo kama ilivyokuwa ACT, SALUM mwalimu kapewa Hilo bulungutu kwa kazi hiyooo
 
una kuwa mbeya kama KE sasa sbiri wakuite wakakuhifadhi sehemu salama si unapenda kuitwa?
 
Kwa vile umepewa 300 k na umepokea na unahisi ni pesa chafu kama ni uchunguzi inabidi wahusika waanze na wewe, maana kosa la rushwa ni kwa mtoaji na mpokeaji.
 
Tatizo la watanzania wengi ni ROHO MBAYA, WIVU na CHUKI
 
Mpasie mange kimambi kule insta na whatsApp yake fasta huo ushahidi taifa lielewe na itakua umesaidia pakubwa sana hii Tanganyika yetu
 
Umetosha sana mkuu kumbe mambo unajua ila kujitoa akili tuu
Nimesoma hadi mambo ya Theory of Elasticity and Plasticity, mambo ya Mama wa Kifaransa ninayemuogopa sana Duniani... Sophie Germain ( miaka ya 1970 - 1880).
Ukifika huko, hivi vi Bending Moment ni Utoto mtupu....,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mengine ni kuchangamsha JF ....
Tupo pamoja lakini na asante kwa kuleta Science kidogo huku kundini πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
alietoa na aliepokea rushwa wote wanastahili kupata msukosuko wa na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria
Hakika Samia amewehuka hivi sasa! Yaani anachota fedha hazina na kumpatia mwanawe Abdul ahonge watu kuvuruga Chama cha upinzani!

Hakika Ajuza Samia ametutia aibu!
 
Ila wakuu hii kununuliwa yani mtu thamani yako ipo kwa ajili ya pesa dah inakata kinoma.!
 
Mmmmh hayo madude mkuu..
Ndo nyie ambao mlikua mna solve advance phy kwa kutumia zile mile,kmh,mole kama unit systems

Unakuta mzigo umenitukana na mzigo umenyooka kinoma mpaka unaumaliza lazima umalizie na ku change unit ziwe moderm
 
Watu wote tunajua CHAUMA tawi la watawala, CCM wamebuni mradi wa kutaka ku justify eti kuna demokrasia ya kweli haoa nchini.
Hawa wahuni ni wa kushambuliwa kama kundi la nzige wachafu.
 
Kwanini umepokea rushwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…