Tetesi: Salum Mwalimu kutambulishwa CCM Jumapili

Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.

Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa.

Gari inayotarajiwa kumbeba kesho usiku kumpeleka Dodoma ni ile VX LC200 aliyokuwa anatumia SG wa CCM kabla ya hiyo ya sasa LC300.

Ifahamike, kwa sasa Salum Mwalimu anajifanya yupo bega kwa bega na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 21/01 kama zuga tu ilhali analo lake kichwani.
Time will tell
 
WApinzani Nchini 95% ni wapiga dili, ni swala la Muda tu
 
Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.

Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa.

Gari inayotarajiwa kumbeba kesho usiku kumpeleka Dodoma ni ile VX LC200 aliyokuwa anatumia SG wa CCM kabla ya hiyo ya sasa LC300.

Ifahamike, kwa sasa Salum Mwalimu anajifanya yupo bega kwa bega na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 21/01 kama zuga tu ilhali analo lake kichwani.
Ahame tu hana mahali pake ndani ya Chadema
 
Mama yake Fauziat ni CCM damu 😂
 
Salum Mwalimu sio asset, yaani sio mtaji hata nukta kwa CCM, sio heavy weight, sio chochote, hana influence kokote, so hana impact kokote CCM..!!

So, aje au asije CCM hana impact yoyote..!! Mchungaji Msigwa is a real deal, but sio Salum, hana lolote
 
Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.

Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa.

Gari inayotarajiwa kumbeba kesho usiku kumpeleka Dodoma ni ile VX LC200 aliyokuwa anatumia SG wa CCM kabla ya hiyo ya sasa LC300.

Ifahamike, kwa sasa Salum Mwalimu anajifanya yupo bega kwa bega na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 21/01 kama zuga tu ilhali analo lake kichwani.
Poa tu amfuate mkewe haina neno.
 
Kama usajiri wa Msigwa wenyewe umeshindwa kulipa kwa CCM na kwa mama Samia, hata usajiri wa Salum Mwalimu huenda usiwe na matokeo yoyote chanya kwa CCM.
 
Back
Top Bottom