GE2025 Salum Mwalimu: Mim na Ado ni wabunge kwenye bunge lijalo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa. Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha wangu, yeye akicheza 11 mimi namba saba na tumekubaliana mwaka huu Mimi na Ado Shaibu kiwake kisiwake, inyeshe isinyeshe, mimi na Shaibu tuende Bungeni tukawasemehe Watanzania shida zao.

Nitarudi tutafanya mkutano, nitazungumza na nyie, nitamwaga sera zangu lakini niwaambie biashara za Chama Cha Mapinduzi lazima tuachane nazo na mimi nimewaambia CCM hii ngoma hii ni kama ile fainali ya PSG ns Chelsea. Safari hii kama mtu anataka kubet CCM, mkeka utachanika"
- Salum Mwalimu, Katibu Mkuu wa CHAUMMA akizungumza na wananchi Jimbo la Tunduru Kusini Mkoani Ruvuma Julai 16, 2025.

Salaaaale haya haya haya CCM mjiandae kusanyeni virago vyenu Salum Mwalimu na Chauma yake awamu hii wamekuja kivingine. Kibaya zaid kwa CCM kuna colabo ya Mwalimu Chauma na Ado Act uuuwii ccm nawaone huruma mtakufwa vibayaa nyiyiiiiii. Bunge lijalo ni bunge kweli kweli Tulia ajiandae.
 
Chama kinachokimbia uchaguzi kifutwe
"Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa. Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha wangu, yeye akicheza 11 mimi namba saba na tumekubaliana mwaka huu Mimi na Ado Shaibu kiwake kisiwake, inyeshe isinyeshe, mimi na Shaibu tuende Bungeni tukawasemehe Watanzania shida zao.

Nitarudi tutafanya mkutano, nitazungumza na nyie, nitamwaga sera zangu lakini niwaambie biashara za Chama Cha Mapinduzi lazima tuachane nazo na mimi nimewaambia CCM hii ngoma hii ni kama ile fainali ya PSG ns Chelsea. Safari hii kama mtu anataka kubet CCM, mkeka utachanika"
- Salum Mwalimu, Katibu Mkuu wa CHAUMMA akizungumza na wananchi Jimbo la Tunduru Kusini Mkoani Ruvuma Julai 16, 2025.

View attachment 3408552
 
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga.
 
Vyama rafiki vya upinzani vinavyo pambana na upinzani kufa na kupona,

Kila la kheri katika ubunge wenu.
 
Back
Top Bottom